Jamii FM
wrd2024
13 February 2024, 12:01 pm
Redio mara zote zinatoa habari za uhakika – Sharifu Kasimu
Na Msafiri Kipila Jamii FM Radio imepata nafasi ya kuzungumza na Sharifu Kasimu Namkanda mkazi wa kata ya Naliendele mkoani Mtwara, ambaye anaeleza kuwa redio ina umuhimu mkubwa sana kwa jamii hasa kwa watu waliopo vijijini ambako mitandao ya kijamii…