Jamii FM

RadioDay

Mkurugenzi mtendaji wa Jamii FM Radio akihojiwa na Grace Hamisi katika studio ndogo za Jamii FM. Picha na AMua Rushita

13 February 2024, 11:30 am

Mahitaji ya kupata habari ni makubwa kwa sasa – Said Swallah

Na Grace Hamisi, Amua Rushita Kila ifikapo Februari 13 ya kila mwaka  dunia huadhimisha siku ya Redio Duniani ambapo huzungumziwa mchango wa redio katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo, changamoto wanazokutanazo jamii na kuziwasilisha kwa wenye mamlaka . Lakini pia redio…