Highlands FM

Wanawake

19 February 2024, 11:07

Madereva bajaji wanawake wadai kufanyiwa ukatili

Na Mwanaisha Makumbuli, Mbeya Madereva bajaji wanawake katika halmashauri ya jiji la Mbeya  wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na baadhi ya wanaume ikiwemo kutolewa lugha za fedheha na matusi, kitendo kinachowakatisha tamaa na kujiona hawastahili kufanya shughuli hiyo.…