FM Manyara

Takukuru

April 24, 2024, 12:29 pm

Takukuru Manyara yaokoa zaidi ya shilingi 44m

Katika kipindi cha  kuanzia mwezi March hadi April 2024  kiasi cha shilling Millioni arobaini na nne zimeokolewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru kutoka wilaya ya kiteto, mbulu na ofisi ya mkoa Na George Agustino Taasisi ya…