FM Manyara

Maadhimisho ya Muungano

April 25, 2024, 10:29 pm

Manyara yaadhimisha Muungano kwa kuliombea Taifa

Maadhimisho ya Muungano yafanyika mkoani Manyara kwa dua maalumu na kukemea vitendo vya ukatili vinavyoendelea kushamiri kwa watoto na kinamama. Na George Agustino Mkoa wa Manyara leo umeadhimisha maadhimisho ya miaka 60 ya  muungano wa Tanganyika na zanzibar kwa kufanya…