FM Manyara

Uncategorized

May 10, 2024, 8:39 pm

Jamii  yatakiwa kuondoa tofauti zao kumlinda mtoto

Kuongezeka kwa vitendo vya kikatili  na mmommonyoko wa maadili vinasababishwa na baadhi ya wazazi wanapogombana ambapo familia nyingi huathirika kwa kukosa malezi bora na  muelekeo mzuri katika maisha yao Na Marino Kawishe Kuelekea siku ya familia duniani  ambayo huadhimishwa kila…

April 25, 2024, 9:25 pm

Tundu Lisu kuunguruma Manyara

Chadema kufanya maandamano ya amani mkoani Manyara Tarehe 26/04/2024 ,kwa  lengo la kuishinikiza Serekali kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania pamoja na kuwapatia katiba mpya, Na George Agustino Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kesho kinatarajia kufanya maandamano ya amani katika mkoa…

April 3, 2024, 5:05 pm

Mkoa wa Manyara wapaa mashindano Tajwid

Shekhe Kadidi aipongeza BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara Na mwandishi wetu Hawa Rashid Shekhe mkuu wa mkoa wa Manyara Mohamed Kadidi amelishukuru baraza kuu la wa Islam Tanzania BAKWATA  kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara katika mashindano yakusoma Quraan tukufu…

March 22, 2024, 4:27 pm

Sakata la Gekul lapigwa kalenda

Mbunge wa Babati  mjini Pauline Gekul kusomewa hukumu ya rufaa ya jinai April 5, 2024 Na mwandishi wetu Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara imepanga Aprili 15,2024 kusoma hukumu ya rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya…

March 20, 2024, 5:27 pm

Wananchi  acheni kuwaficha wahalifu

Polisi Manyara yawataka wananchi  kuripoti matukio ya kihalifu katika mitaa yao. Na George Agustine Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa  katika kituo cha  polisi  kutokana na watu wanaofanya matukio ya kihalifu katika mitaa yao ili wachukuliwe  hatua za…