Dodoma FM

Watoto

12 April 2022, 4:26 pm

Serikali idhibiti ongezeko la watoto wa mitaani

Na; Shani Nicolous. Wakati siku ya mtoto anayeishi na kufanya kazi  mtaani ikiadhimishwa kimataifa serikali imeombwa kuongeza nguvu na itilie mkazo jambo la kudhibiti  ongezeko la watoto wa mtaani. Akizungumza na kituo hiki Elizabeth Msuya kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali…

6 April 2022, 3:22 pm

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto katika vituo vya Afya

Na;Yussuph Hassan. Wazazi na walezi Mkoani Dodoma wameshauriwa kuhakikisha wanawapeleka Watoto wao katika vituo vya afya kufanya uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali ambayo mara nyingi huwa kama yamesahauliwa katika jamii. Akizungumza na kituo hiki Dkt Matthew Gaudance kutoka kituo cha Afya…

20 January 2022, 4:47 pm

Kisedete kupambana na familia zinazo ruhusu watoto kuingia mtaani

Na; Benard Filbert. Shirika la KISEDET ambalo linajighulisha na kuwahudumia watoto wanaofanya kazi mtaani wamesema mwaka huu watajikita zaidi na familia zinazoruhusu watoto kuingia mtaani ili kukomesha hali hiyo. Hayo yameelezwa na Ibrahim Mtangoo Afisa ustawi wa jamii kutoka shirika…

4 May 2021, 9:02 am

Jamii yaonywa kuacha kuwatumikisha watoto katika biashara.

Na; Thadey Tesha. Katika kuondokana na wimbi la watoto wanaojihusisha na shughuli za biashara wakiwa na umri mdogo jamii imeshauriwa kuacha mara moja vitendo vya kuwatumikisha watoto wadogo katika shughuli za biashara kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria. Akizungumza…