Dodoma FM
Dodoma FM
20 October 2025, 11:13 pm
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, wananchi wa kata za Riroda na Duru wilayani Babati, mkoani Manyara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki kupiga kura na kuwachagua viongozi kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi…
18 October 2025, 9:00 pm
Na Marino Kawishe Zaidi ya shilingi Bilion mbili zimetekeleza miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika kata ya Gidas chini ya uongozi wa Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini kwa kipindi cha miaka minne iliyopita wakati huu wa uongozi wa Rais Samia…
17 October 2025, 8:02 pm
Na Marino Kawishe Mgombea ubunge wa jimbo la uchaguzi la Babati Vijijini Daniel Baran Sillo ameendelea na ziara ya kunadi ilani ya chama cha mapinduzi CCM nakuomba wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya October 29 mwaka huu kupiga kura na…
17 October 2025, 4:00 pm
Wakati uchaguzi mkuu ukikaribia, vijana wa Chitabuli wametakiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani na kuepuka vitendo vya vurugu. Picha na Blogers. Kwa kufanya hivyo, watakuwa wametimiza haki yao ya msingi, kwani kila kijana ana wajibu wa kushiriki kikamilifu katika mchakato…
6 October 2025, 11:43 am
Aidha, amesema changamoto kubwa kwa vijana wengi wa sasa ni kutegemea wazazi wao badala ya kujituma na kupambana kwa ajili ya maisha yao, hali inayowadumaza kimaendeleo. Picha na Blog. Muhuri amesema ukosefu wa kipato umesababisha baadhi ya wasichana kujiingiza kwenye…
30 September 2025, 2:34 pm
Kupitia mradi huo, vijana wanapewa mafunzo ya kilimo chenye tija, ujasiriamali, elimu ya fedha, na uelewa wa mnyororo wa thamani wa mazao. Na Seleman Kodima. Licha ya sekta ya kilimo kuchangia ajira kwa Watanzania kwa Asilimia 65.5, bado imeendelea kukumbwa…
25 September 2025, 3:06 pm
Mikakati kama vile elimu ya kina ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma rafiki za afya, na ushirikishwaji wa jamii katika kubadili mitazamo potofu kuhusu mimba za utotoni inahitajika. Na Mariam Matundu. Wazazi na walezi wana wajibu wa…
25 September 2025, 9:45 am
Na Marino Kawishe Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika October 29 mwaka huu hapa Nchini Wananchi wa kata ya Riroda wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura wakiwa na kadi za mpiga kura ili kumchagua Rais Samia…
24 September 2025, 5:27 pm
Mgombea Urais Wa Jamuhuri ya muungano Wa Tanzania kutoka chama Cha ADA TADEA Georges Bussungu amewataka wananchi kufikia katika kampeini za wagombea mbalimbali na kusikiliza sera bila kuwa na hofu ya aina yeyote. Na Diana Dionis Bussungu ameyasema hayo wakati …
16 September 2025, 4:36 pm
Na Marino Kawishe Wananchi katika jimbo la hanang mkoani manyara wametakiwa kujitokeza october 29 kwenye uchaguzi mkuu wakumchagua rais, wabunge na madiwani. Akifungua kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la hanang kwa tiketi ya ccm, mjumbe wa mkutano mkuu…