Dodoma FM
uzinduzi
16 December 2021, 2:12 pm
Rais Samia kuunda wizara itakayo shughulikia masuala ya jinsia
Na; Mariam Matundu. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ili kutekeleza kikamilifu ahadi za nchi kuhusu kizazi chenye usawa ataunda wizara maalumu itakayo shughulikia masuala ya jinsia . Rais samia amesema hayo katika uzinduzi wa…
10 May 2021, 11:58 am
Kitabu cha mzee Mwinyi kitakuwa msaada kwa viongozi mbalimbali katika kuhudumia…
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa kitabu kilichozinduliwa hivi karibuni cha Raisi wa awamu ya pili ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi ambacho kinaeleza historia ya maisha yake katika kipindi cha utawala wake kitawasaidia viongozi wa serikali…