Dodoma FM

Uwekezaji

30 August 2025, 6:22 pm

Geita kuupokea Mwenge wa Uhuru Jumatatu

Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Geita utatembelea , kukagua , kuzindua kuweka mawe ya msingi jumla ya miradi 61ya maendeleo. Na Kale Chongela: Mkoa wa Geita unatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru  kwa mwaka 2025 katika kijiji cha Lwezera Halmashauri ya…

30 August 2025, 6:00 pm

Serikali yatoa hekta 5,000 za hifadhi kwa wananchi Bukombe

Hakuna wananchi wenye uhaba wa maeneo na makazi katika kitongoji cha Idosero baada ya serikali kutoa hekta zaidi ya 5,000. Na Mrisho Sadick: Serikali imetenga zaidi ya hekta 5,600 kutoka maeneo ya hifadhi na kuwagawia wananchi wa Kitongoji cha Idosero…

22 August 2025, 3:27 pm

GGML yaridhia kuwalipa fidia wakazi Nyakabale na Nyamalembo

Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande zote kukubaliana kuanza mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo yanayotumiwa na mgodi huo Na: Ester Mabula Serikali kupitia wizara ya madini imetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka…

22 August 2025, 15:18 pm

Wanawake waliovunja ukimya, safari ya Coletha, Zaituni kisiasa

Walizunguka kwa miguu, walikutana na wananchi, wakahamasisha, na walipambana kwa hali na mali kuhakikisha sauti ya mwanamke inasikika katika uongozi wa ngazi ya chini Na Mwanaidi Kopakopa Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeanza kushuhudia mwamko mpya wa wanawake kushiriki kikamilifu…

20 August 2025, 8:21 pm

Sakata la TFS na wananchi Lwamgasa limekwisha

Miongoni mwa sababu kubwa za mgogoro huu ni uhaba wa maeneo ya kilimo, hali inayochangiwa na shughuli nyingi za uchimbaji wa madini ya dhahabu. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya wakazi wa kijiji cha Lwamgasa wilayani Geita kuvamia na…

17 August 2025, 8:02 pm

Serikali yawajengea ofisi Bodaboda Geita

Wamekabidhiwa ofisi hiyo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Yefred Myenzi kwa ajili ya kuanza kuitumia rasmi katika shughuli zao. Na Kale Chongela: Umoja wa Madereva Bodaboda Mkoa wa Geita (UMABOGE) wameipongeza serikali kwa kuwajengea ofisi mpya iliyopo katika viwanja…

6 August 2025, 18:54 pm

Mtamba aibuka kidedea kura za maoni CUF Mtwara Vijijini

Mh. Shamsia Mtamba ashinda kura za maoni CUF Mtwara Vijijini kwa kura 334 kati ya 374, akimuacha Abdull Mahupa nyuma kwa kura 39 Na Musa Mtepa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, ameibuka mshindi katika…

14 July 2025, 7:35 pm

NMB yawa mkombozi kwa walimu Geita

Benki ya NMB imeendelea kuwa karibu na walimu ili kuwapunguzia baadhi ya changamoto ambazo ziko ndani ya uwezo wa benki hiyo kama mikopo yenye mashariti nafuu. Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kuendeleza ushirikiano na Benki ya NMB kutokana na mchango…

12 July 2025, 4:43 pm

Wananchi waanzisha ujenzi wa soko Mbogwe

kutembea umbali mrefu , ajali za barabarani zimewasukuma wakazi wa Mji Mwema kuanzisha ujenzi wa soko la mtaa Na Edga Rwenduru: Wakazi wa Kitongoji cha Mji Mwema Kata ya Lulembela wilayani Mbogwe Mkoani Geita wameamua kuanzisha Ujenzi wa soko la…