Dodoma FM
Ushirika
18 March 2024, 12:05 pm
Wanaume Dodoma waonywa kuacha ukatili wa kiuchumi kwa wake zao
Mkutano huo ulikuwa na lengo la kutoa hamasa kwa wananchi hususani wanawake kujiunga na vyama vya ushirika. Na Fred Cheti. Wanaume wametakiwa kuacha kufanya ukatili wa kiuchumi kwa wake zao hasa kwenye kilimo ambapo inaelezwa kuwa baadhi ya wanaume wamekua…