Dodoma FM

Usalama

23 February 2024, 5:58 pm

Matukio ya uhalifu tishio kwa wakazi wa Nzuguni

Jeshi la Polisi linaombwa kufanya doria za mara kwa mara hasa usiku na jitihada za kuwapata viongozi hawa zinaendelea ili kujua wamechukua hatua gani katika kulinda usalama wa wananchi na mali zao. Na Mindi Joseph. Matukio ya uhalifu, wizi na…