Dodoma FM

Taasisi

2 December 2025, 09:24

Wananchi waaswa kuendelea kulinda amani Kigoma

Amani ni nguzo muhimu katika maisha ya binadamu na msingi wa ustawi wa jamii yoyote ile bila amani, hakuna jambo linaloweza kufanikiwa ipasavyo na ndiyo maana jamii nyingi duniani huchukua hatua mbalimbali kuhakikisha kuwa amani inadumishwa na amani si jukumu…

1 December 2025, 16:25

Wazazi waaswa kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni Kigoma

Wazazi wanapofuatilia maendeleo ya watoto wanaweza kugundua mapema kama mtoto ana matatizo ya kitaaluma, kitabia, au kihisia ili changamoto zikibainika, ni rahisi kupata suluhisho kabla hazijawa kubwa na ushiriki wa mzazi umethibitishwa kuwa na athari chanya kwenye matokeo ya mtoto…

28 November 2025, 15:31

Viongozi wa dini walia na vitendo vya ukatili Kigoma

Wakati tukiwa ndani ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na elimu ikiendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali na makundi mbalimbali hasa watoto na wanawake, serikali imetakiwa kuweka sheria kali dhidi ya watuhusu wa matukio ya ukatili Na Sadick Kibwana…

26 November 2025, 15:47

World vision yakabidhi madarasa mapya na vyoo Kasulu

Shirika la World Vision Tanzania limekabidhi madarasa na vyoo kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Kasulu ikiwa nisehemu ya kuunga mkono juhudi za kuboresha sekta ya elimu Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaack Mwakisu, amelipongeza Shirika…

25 November 2025, 11:00

Wazazi waaswa kuzingatia elimu ya awali kwa watoto

Wito umetolewa kwa wazazi na walezi wilayani Kigoma mkoani Kigoma kuwekeza kwenye elimu kwa kuhakikisha wanawasomesha watoto wao ili waweze kufikia ndoto zao. Na Sofia Cosmas Wazazi na walezi wametakiwa kuwapeleka watoto kusoma elimu ya awali  katika shule  zilizopo  karibu…

24 November 2025, 1:26 pm

Habari za uongo,kikwazo kwa biashara Kilosa

Habari za uongo zimekuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo ya biashara, hasa katika jamii zinazotegemea taarifa sahihi kufanya maamuzi ya ununuzi na uuzaji. Na Aloycia Mhina Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Kilosa, Ndugu Joshua Chaluza Mbarikiwa, ametoa wito kwa wafanyabiashara na…

22 November 2025, 11:17

Idadi ya watoto wa mitaani yaongezeka Burundi

Licha ya mikakati inayoendelea kuweka na Serikali ya Burundi ya kuhakikisha inasaidia kuondoa watoto wanaoishi mitaani bado watoto hao wameendelea kuonekana namitaani na wengine wakijikuta katika kazi zisizo rasmi Na Bukuru Daniel Mji mkuu wa kiuchumi wa Burundi Bujumbura unaendelea…

22 November 2025, 09:31

Wahitimu TIA Kigoma waaswa kuwa wabunifu katika biashara

Wahitimu wa fani mbalimbali katika chuo cha uhasibu ndaki ya Kigoma wametakiwa kuendelea kuwa wabunifu ili waweze kujiajiri na kuacha kuendelea kusubiri kuajiriwa na serikali au mashirika binafsi. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka wahitimu…

21 November 2025, 08:34

RC Sirro ataka wakurugenzi kugeukia ufundishaji kidijitali

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema kutokana na ukuaji wa teknolojia elimu haina budi kutolewa kwa kuzingatiamatumizi ya teknolojia kwa wanafunzi Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa  Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka wakurugenzi wa  halmshauri za mkoa Kigoma kuongeza…