Dodoma FM
Sokoine
28 March 2024, 7:07 pm
Rais Samia kuhudhuria kumbukizi ya miaka 40 ya hayati Sokoine
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika vipindi viwili wakati wa uongozi wa awamu ya kwanza. Na Selemani Kodima. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika…