Dodoma FM

Sera

9 March 2024, 5:35 pm

Sera ya Jinsia kukuza usawa wa kijinsia

Waziri Dkt. Gwajima amewasisitiza wanawake kujiunga na vikundi vya maendeleo ili kutumia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Serikali pamoja na wadau na kuwahimza kujitokeza kugombea nafasi mbalimnali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu. Na Mariam Matundu.…