Dodoma FM
Mtanana
6 September 2021, 10:17 am
Wakazi wa kata ya Mtanana wanatarajia kupitisha makubaliano ya kukodisha shamba…
Na; Benard Filbert. Ungozi wa kata ya Mtanana wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma unatarajia kupitisha makubaliano na wananchi ya kukodisha shamba lenye ukubwa wa heka 107 ili fedha hizo zitumike katika ujenzi wa madarasa pamoja na Zahanati. Hayo yameelezwa na…