Dodoma FM
Dodoma FM
18 March 2024, 5:34 pm
Utekelezaji wa zoezi hilo unabeba dhana ya kuhakikisha maeneo ya vyanzo vya maji yanakuwa salama katika athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Mariam Kasawa. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Alhaji Jabiri Shekimweri ameipongeza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa…
9 February 2022, 3:22 pm
Na ;Thadei Tesha. Ofisi ya maliasili jijini Dodoma kwa kushirikiana na wakala wa misitu TFS wametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukua miche ya miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua. Akizungumza na taswira ya habari afisa…