Dodoma FM
Milima
15 March 2024, 6:16 pm
NEMC na Halmashauri ya jiji la Dodoma zaagizwa kufanya tathhmini katika milima
kwa mujibu wa sheria ya mazingira ibara ya 58 ibara ndogo ya 2 kifungu kidogo cha D Kinatoa maelekezo ya kulinda vilima vyote vya jiji la Dodoma. Na Mariam Kasawa.Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), pamoja…