Dodoma FM

mdomo

23 January 2023, 1:13 pm

Wananchi wahitaji elimu zaidi juu ya wiki ya sheria

Na; Mariam Matundu. Wanachi jijini Dodoma wameshauri elimu zaidi itolewe juu ya ufahamu wa wiki ya sheria ili kutoa mwamko kwa watu wengi kutembelea katika vyombo husika  kupata msaada wa kisheria Wamesema watu wengi hawajui nini kinaendelea katika wiki hii…

22 January 2023, 10:59 am

Wiki ya Sheria yazinduliwa Jijini Dodoma

Na; Fred Cheti. Makamu wa Rais wa Jamhuriya muungano wa Tanzania dkt. Philp Mpango amesema uchumi endelevu wa wananchi utafanikiwa iwapo vyombo vya utoaji haki vitatimiza wajibu wake katika kusikiliza na kutoa haki kwa wananchi bila upendeleo wowote. Dkt. Mpango…

22 January 2023, 10:27 am

Kuandika wosia si kujitabiria kifo

Na; Mariam Kasawa. Wazazi wamekumbushwa kuwa na utamaduni ya kuandika wosia ili mgawanyo wa mali usilete shida endapo mzazi huyo atafariki. Akizungumza na Dodoma Tv mwanasheria kutoka chama cha wanasheria wanawake TAWLA bi. Neema Ahmed amesema wazazi wanapaswa kujua kwamba…