Dodoma FM

MADINI

17 October 2025, 3:39 pm

Wachimbaji wadogo watakiwa kuchukua tahadhari migodini

Wachimbaji wadogo wa madini wametakiwa kutumia vifaa vya kinga migodini ili kuepuka madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya zao. Picha na Blogers. Kwa kuzingatia matumizi ya vifaa sahihi wakati wa uchimbaji wa madini wataweza kuepukana na athari za kiafya zinazoweza…

22 July 2025, 10:02 pm

Kwanini Warundi wengi wanakimbilia Geita?

Kwa mujibu wa baadhi ya raia wa Burundi wameiambia Storm FM kuwa wanakimbilia mkoa wa Geita kwa kuwa una fursa lukuki za kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Wananchi mkoani Geita kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji wamefanikiwa kuwakamata raia wa kigeni…

16 July 2025, 5:52 pm

Warundi 126 wakamatwa wakiishi kinyemela Geita

Oparesheni ya kusaka raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume na utaratibu mkoani Geita imezaa matunda Na Kale Chongela: Idara ya Uhamiaji Mkoani Geita katika oparesheni zake imefanikiwa kuwakamata nakuwarudisha makwao raia wa kigeni 126 waliongia nchini kinyume Cha Sheria Kutoka…

1 March 2022, 3:34 pm

Sekta ya madini ni kiungo muhimu katika ukusanyaji mapato.

Na; Victor Chigwada. Sekta ya madini Jijini Dodoma imekuwa kiungo muhimu katika nyanja ya ukusanyaji mapato licha ya baadhi ya migodi pamoja na jamii ya maeneo husika kutokunufaika kwa kiasi kikubwa. Wananchi wa kijiji cha Nholi Kata ya Mpalanga wamesema…