Dodoma FM

madawati

30 March 2021, 2:21 pm

Serikali yaanzisha madawati ya ulinzi kwa watoto mashuleni

Na. Yussuph Hans Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Ulinzi  kwa Watoto katika shule za msingi na sekondari  Nchini. Hayo yamesemwa  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…