Dodoma FM

Kimataifa

15 December 2020, 10:26 am

Bushiri na mkewe kurudishwa A.Kusini

Lilongwe, Malawi. Waziri wa usalama wa ndani wa Malawi , Richard Banda, amesaini nyaraka kwa ajili ya mchungaji tajiri na maarufu Shepherd Bushiri na mke wake, Mary kurudishwa nchini Afrika Kusini. Hii inafuatia ombi la mahakama ya nchi jirani ya…

14 December 2020, 3:26 pm

Nigeria:Zaidi ya wanafunzi 300 hawajulikani walipo

Abuja, Nigeria. Gavana wa Jimbo la Katsina la Nigeria Aminu Masari amesema, wanafunzi 333 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi lililofanywa usiku wa Ijumaa na watu wenye silaha katika shule moja ya sekondari katika jimboni Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria.…