Dodoma FM
elimu ya chanjo
14 October 2021, 12:10 pm
Wakazi wa Mbabala waiomba serikali iwapatie Elimu ya kutosha juu ya chanjo ya uv…
NA; Shani Nicolous. Wananchi wa kijiji cha Mbabala kata ya Mbabala Wilaya ya Dodoma mjini wameiomba serikali kupitia wizara ya afya kuongeza Elimu vijijini juu ya chanjo ya Uviko 19. Wakizungumza na Taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa uhaba…