Dodoma FM

daraja

3 April 2024, 6:02 pm

Ujenzi wa daraja la Ng’ong’ona kufungua fursa za kiuchumi

Mikakati ya TARURA kuboresha Miundombinu ya barabara na madaraja katika mkoa wa Dodoma ili kurahisisha shughuli za kiuchumi. Na Fred Cheti.Ujenzi wa daraja la Ng’o’ng’ona lililopo katika Kata ya Ng’o’ng’ona Jijini Dodoma linalojengwa kwa teknolojia ya Mawe linatarajiwa kufungua fursa…

24 July 2023, 6:37 pm

Mikoa yote nchini yaagizwa kuadhimisha siku ya mashujaa

Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yamekamilika katika eneo la Mtumba jijini Dodoma huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kesho kuweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa eneo hilo. Na…

21 July 2022, 2:17 pm

Sherehe za mashujaa kitaifa kufanyika Jijini Dodoma

Na;Mindi Joseph. Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Sherehe Za Mashujaa Ambayo Kitaifa Yatafanyika Jijini Dodoma. Akizungumza Katika Viwanja Vya Mashujaa Ambapo Sherehe Hizo Zitafanyika Mkuu Wa Mkoa Wa Dodoma Antony…