Dodoma FM

AZAKI

18 October 2022, 6:44 am

Wakazi jijini Dodoma waomba kupunguziwa gharama za usafirishaji

Na; Mariam Matundu.  Wananchi jijini  Dodoma wameomba kuboreshewa usafirishaji ili kupunguza gharama za usafiri zinachochangia kupanda kwa gharama za maisha siku hadi siku. Denis mandia ni mkazi wa dodoma yeye amesema kuwa suala la kupanda kwa gharama za usafirishaji zinachochea…

22 October 2021, 12:06 pm

Wiki ya AZAKI kuanza kesho

Na;Mindi Joseph. Ikiwa kesho ni Wiki ya Asasi za kiraia nchini AZAKI imetajwa kukua zaidi na kuchangia maendeleo endelevu nchini pamoja na wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma Nesia Mahenge Mkurungezi Mkazi CBM Tanzania amesema kila kwenye maendeleo ya nchi AZAKI…