afya ya uzazi
18 May 2022, 2:19 pm
Wazazi / walezi jijini Dodoma watakiwa kuwapeleka watoto kupata chanjo ya polio
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa polio hauna tiba na unasababisha madhara kiafya ikiwemo kupooza kwa viungo vya mwili. Akizungumza leo jijini Dodoma katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya chanjo ya matone dhidi ya…
5 November 2021, 1:26 pm
Jamii yatakiwa kuweka tamaduni ya kuzungumza na vijana juu ya afya ya uzazi
Na; Mariam Matundu. Jamii imeshauriwa kuacha tamaduni za kutozungumza na watoto wao na badala yake wawe wa wazi katika kufikisha elimu ya afya ya uzazi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana wamesema kuwa wanakumbwa na sintofahamu juu ya…
11 August 2021, 11:21 am
Wazazi wametakiwa kujenga mazoea ya kuzungumzia masuala ya Afya ya uzazi na wato…
Na; Mariam Matundu. Wazazi na walezi wametakiwa kuwa na mazoea ya kuzungumza na watoto wao kuhusu masuala ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na magonjwa ya ngono pamoja na mimba za utotoni. Hayo yamezungumzwa na mratibu wa afya ya uzazi…
29 April 2021, 2:50 pm
Upungufu wa vituo vya huduma ya Afya ya uzazi kwa vijana warudisha nyuma mapamba…
Na; Mariam Matundu. Upungufu wa vituo vinavyotoa huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana umetajwa kuwa moja ya changamoto inayorudisha nyuma mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi . hayo yamesemwa na Rosemary Shani balozi wa wasichana balehe…