Dodoma FM

Afya ya macho

15 October 2021, 11:59 am

Jamii yatakiwa kuzingatia Afya ya Macho

Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia afya ya macho kwa kupima mara kwa mara macho . Akizungumza na Taswita ya habari meneja wa mpango wa taifa wa huduma ya macho wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee…