Dodoma FM

mazingira

26 May 2021, 12:45 pm

Maji safi na salama changamoto kata ya mkonze

Na; Mindi Joseph Wakazi wa  mtaa wa Zinje Kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwapelekea maji safi na salama ili kuokoa afya zao kutokana na kutumia maji wanayochimba kwenye korongo ambayo si safi na salama. Taswira ya habari imezungumza…

24 May 2021, 1:54 pm

Uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia Nchi

Na;Mindi Joseph . Uharibifu wa mazingira nchini umetajwa kuchangia kuongezeka kwa mabadiliko ya tabia nchi hali ambayo imepelekea   kiwango cha maji kuzidi kuongezeka Nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Said Jafo…

5 May 2021, 11:09 am

wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya maji na barabara

Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…

30 April 2021, 9:36 am

WWF yaishukuru Serikali kwa kushiriki juhudi utanzaji wa Mazingira

Na; Benard  Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…