macho
4 October 2022, 12:03 pm
Wanafunzi wanao hitimu darasa la saba watakiwa kuto jiingiza kwenye uhalifu
Na; Victor Chigwada Wito umetolewa kwa wanafunzi wanao hitimu elimu ya msingi kuacha kujihusisha na vikundi vya uhalifu ambavyo vimekuwa gumzo kwa hivi karibuni wakati wakisubiri matokeo ya mtihani. Wito huo umetolewa na fadhila Chibago Diwani wa Kata ya Dodoma…
25 October 2021, 10:48 am
Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuvaa miwani ya urembo bila kufanya uchunguzi wa…
Na; Alfred Bulahya. Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuvaa miwani ya urembo bila kufanya uchunguzi wa miwani hiyo ili kuepusha kupata magonjwa yasiyo ya lazima. Wito huo umetolewa na mtaalamu wa afya kutoka hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma…
22 October 2021, 12:15 pm
Wananchi waonyesha muitikio mdogo katika kujitokeza kupima Afya ya macho
Na;Yussuph Hans. Licha ya Serikali kuhakikisha Huduma ya upimaji Macho inapatikana katika vituo mbalimbali vya afya nchini, imeelezwa kuwa kasi ya kujitokeza kupima Afya ya Macho kwa Wananchi bado ndogo. Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya Wakazi jijini hapa,…
20 October 2021, 11:28 am
Asilimia 78 hadi 80 ya wakazi wa Dodoma wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ya m…
Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kati ya Asilimia 78 hadi 80 ya wakazi wa Dodoma wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ya macho ikiwemo uoni hafifu. Hayo yameelezwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Dodoma, Dk. Msigaro Leah…
15 October 2021, 11:59 am
Jamii yatakiwa kuzingatia Afya ya Macho
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia afya ya macho kwa kupima mara kwa mara macho . Akizungumza na Taswita ya habari meneja wa mpango wa taifa wa huduma ya macho wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee…