Dodoma FM

AZAKI

16 August 2023, 1:53 pm

Usawa kijinsia sio kukandamiza kundi fulani

Kikao kazi hicho cha siku moja, kinapokea taarifa za utekelezaji wa sekta na wadau kuhusu usawa wa kijinsia kwa kipindi Januari hadi Juni, 2023. Na WMJJWM,  Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt…

12 October 2022, 11:59 am

Wasichana wataka usawa katika ugawaji wa majukumu

Na; Mariam Matundu. Usawa katika  ugawaji wa majukumu ya nyumbani kwa wasichana ni mzigo ambao umekuwa ukiwalemewa . Siku ya mtoto wakike Duniani yenye kaulimbiu isemayo Haki zetu ni hatma yetu ,wakati ni sasa ,Baadhi ya wasichana wamesema suala la…

22 October 2021, 12:06 pm

Wiki ya AZAKI kuanza kesho

Na;Mindi Joseph. Ikiwa kesho ni Wiki ya Asasi za kiraia nchini AZAKI imetajwa kukua zaidi na kuchangia maendeleo endelevu nchini pamoja na wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma Nesia Mahenge Mkurungezi Mkazi CBM Tanzania amesema kila kwenye maendeleo ya nchi AZAKI…