Radio Tadio
25 Juni 2021, 1:49 um
Na; FRED CHETI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani leo June 25 amewataka viongozi wa dini nchini kuendeleza mapambano dhidi ya janga la Corona. Akizungumza wakati akihutubia baraza la Maaskofu wa jimbo katoliki Tanzania jijini…