Radio Tadio

Michezo

12 August 2024, 13:56

Barabara ya Buhigwe-Kasulu kunufaisha wananchi kiuchumi

Wananchi wa kata ya Heru Juu katika halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameipongeza serikali kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya lami unaoendelea kutoka wilayani Buhigwe kuelekea wailayani Kasulu ambapo ukikamilika utawasaidia katika shughuli zao za kiuchumi. Pongezi hizo…

8 August 2024, 1:36 pm

RUWASA yaanza kutatua changamoto ya maji Nyarugusu

Wakazi wa kata ya Nyarugusu halmashauri ya wilaya ya Geita wameiomba serikali kutatua changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama katika kijiji hicho kwani maji wanayotumia kwa sasa yanahatarisha afya zao. Na: Edga Rwenduru – Geita…

6 August 2024, 1:18 pm

Aliyeuawa na wasiyojulikana azikwa Bunda

Waombolezaji walaani kitendo cha mtu kuvamiwa ndani kwake kisha kuuawa wameliomba jeshi la polisi kuwasaka wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria Na Adelinus Banenwa Mwanamke aliyeuawa baada ya kushambuliwa na watu wasiyojulikana nyumbani kwake katika mtaa wa Rubana kata…

1 August 2024, 11:24

KUWASA yalalamikiwa maji kuwanufaisha matajiri tu Kigoma

Wananchi Katika Kijiji cha Matyazo Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma, Wamelalamika kukatiwa Maji kutoka katika Mradi wa Maji Kijiji humo, na kusababisha kaya nyingi kulazimika kutumia maji yasiyosalama kiafya, sambamba na kuomba Uongozi wa RUWASA…

1 August 2024, 08:54

Wafanyabiashara walia na utitiri wa kodi Kigoma

Serikali ya mkoa Kigoma imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara ii waweze kufanyabiashara kwa urahisi kwa kuweka mindombinu bora ya usafiri na usafirishaji. Na Lucas Hoha – Kigoma Wafanyabiashara Mkoani Kigoma wameomba Serikali kupunguza utitili wa Kodi zinazotozwa mipakani…