Radio Tadio

Michezo

4 October 2024, 13:27

Wazazi watakiwa kuwezesha watoto kupata elimu bora

Serikali imewataka wazazi na walezi kuendelea kuwapeleka watoto wao shule ili kupata elimu itakayowasaidia kuweza kutimiza ndoto zao. Na Lucas Hoha – Kasulu DC Wazazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili mema…

4 October 2024, 13:03

Jamii yaaswa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Wito umetolewa kwa jamii na wadau wa maendeleo kutoa taarifa za watoto wenye ulemavu na kuwafichua ili waweze kupelekwa shule na kupata elimu kama watoto wengine kwenye jamii. Na Sadiki Kibwana – Kigoma Wazazi na walezi Manispaa ya Kigoma Ujiji…

3 October 2024, 7:38 pm

TANAPA Kanda ya Magharibi yatoa vifaa kwa bodaboda Bunda

TANAPA wamesaidia kwa kiasi kikubwa katika shughuli za maendeleo katika jamii ikiwemo utengenezaji madawati, ujenzi wa zahanati, madarasa miongoni mwa  kazi zingine. Na Adelinus Banenwa TANAPA Kanda ya Magharibi itoa refractor  1000 kwa waendesaha pikipiki maarufu bodaboda wilayani Bunda. Akikabidhi…

30 September 2024, 13:04

Wananchi watakiwa kujiandikisha kupiga kura Kibondo

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya kibondo mkoani kigoma amewataka wananchi wilayani humo kuhakikisha wanajitokeza na kujiandikisha ili waweze kushiriki kwenye zoezi la upigaji kura. Na James Jovin – Kibondo Wananchi wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha…

30 September 2024, 12:46

Wananchi wenye sifa watakiwa kugombea nafasi za uongozi Kasulu

Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mji Kasulu ambaye pia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Mwl. Vumilia Simbeye amewataka wananchi kujitokeza na kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba…