Kilimo
2 Machi 2026, 12:09
Mbunge achangia milioni 2 kutatua changamoto ya madawati Buhigwe
Elimu ni msingi muhimu katika maendeleo ya mtoto na taifa kwa ujumla hata hivyo katika mchakato wa kujifunza, kumekuwepo na changamoto mbalimbali zinazoathiri ufanisi wa masomo darasani ikiwemo ni tatizo la watoto kukaa chini kwa kukosa madawati. Na Mwandishi wetu…
2 Machi 2026, 09:23
Utoaji chakula shuleni Wilaya ya Uvinza umefikia 60%
Chakula shuleni ni nguzo muhimu katika kuhakikisha mwanafunzi anakuwa na afya njema, anafaulu masomo, na anakua katika mazingira bora ya kielimu. Na Mwandishi wetu Wilaya ya Uvinza imejipanga kuendelea kuboresha utoaji wa chakula shuleni ikiwa ni mkakati mojawapo wa kuongeza…
27 Febuari 2026, 17:22
Vijana 50 wanufaika elimu ya biashara Kibondo
Katika dunia ya leo yenye ushindani mkubwa wa kiuchumi, vijana wanahitaji maarifa na ujuzi utakaowawezesha kujitegemea na kukabiliana na changamoto za maisha na mojawapo ya elimu muhimu wanayopaswa kupewa ni elimu ya biashara ili iweze kuwasaidia kuelewa misingi ya ujasiriamali,…
13 Febuari 2026, 14:15
DED Kasulu ahimiza nidhamu kwa walimu na wanafunzi kuongeza ufaulu
Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imewataka walimu wakuu wa shule za Sekondari kuhakikisha wanasimamia nidhamu ili kuongeza ufaulu Na Hagai Ruyagila Wakuu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia suala la nidhamu…
22 Januari 2026, 5:56 um
Diwani masama kusini kujenga jiko jipya shule ya Msingi Nkwamaku
Diwani wa kata ya Masama Kusini akerwa na ubovu wa jiko la kupikia chakula cha wanafunzi katika shule ya Msingi Nkwamakuu, ameahidi kuvunja na kujenga jiko jingine. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kitongoji cha Nkwamakuu kata ya masama kusini…
19 Januari 2026, 13:06
Walimu watakiwa kufanya kazi kwa kujituma Kasulu
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na taifa lolote linalotamani maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiteknolojia haliwezi kufanikiwa bila kuwa na mfumo wa elimu imara. Na Michael Mpunije Walimu wa shule za msingi…
16 Januari 2026, 15:35
Walimu wapewa mafunzo kuwajengea wanafunzi uelewa somo la kingereza
Afisa Elimu Mkoa wa Kigoma Mwalimu Paulina Ndigeza amewataka walimu kuhakikisha wanafundisha matumizi ya msingi wa awali (baseline) ili kuwajengea uwezo wanafunzi wa somo la kingereza Na Hagai Ruyagila Walimu wakuu pamoja na walimu wa kidato cha kwanza katika Halmashauri…
16 Januari 2026, 14:15
Kigoma waaswa kuchukua tahadhari majanga ya moto kwenye usafiri
Jeshi la Zima moto na uokoaji Mkoani Kigoma limewataka wananchi kuhakikisha wanachukua tahadhari za majanga ya moto. Na Sadiki Kibwana Wananchi wanaotumia bandari za Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuchukua tahadhari mapema kabla ya kuanza kusafiri majini ili kujikinga na majanga…
16 Januari 2026, 11:38
Wakuu wa shule watakiwa kusimamia ufaulu kwa wanafunzi Kasulu
Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha inaongeza ufaulu kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari Wakuu wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kusimama kidete kuhakikisha ufaulu kwa wanafunzi unaongezeka.…
19 Disemba 2025, 13:03
Wahitimu UBA waaswa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari Kigoma
Wahitimu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wanaosoma fani ya uandishi wa habari, wameshauriwa kuongeza ujuzi wao katika masuala ya kidijitali, ili kuepusha matumizi mabaya ya teknolojia yanayoweza kupotosha umma. Na Orida Sayon Wahitimu kutoka chuo cha utangazaji Ujiji Broadcasting…