Butiama FM Radio
Butiama FM Radio
October 7, 2025, 7:48 pm

Na Oscar Mwakipesile
Katika semina iliyoandaliwa na Butiama FM siku ya pili tangu kuanza kwa semina hiyo wamefundishwa namna bora ya kuandika habari zinazoweza kuwekwa katika mtandao wa portal ili kuwawezesha kuwa na uelewa juu ya umuhimu wa kuandika habari za kidijitali.

Aidha wameweza kufanya mazoezi ya kuandika habari hizo kwa ajili ya kuwekwa kwenye portal, mafunzo hayo yanafanyika kwa siku nne Butiama kwenye Makumbusho ya JK Nyerere.