Recent posts
October 7, 2025, 7:48 pm
Butiama FM wanolewa utangazaji kidijitali Radio Tadio
Na Oscar Mwakipesile Katika semina iliyoandaliwa na Butiama FM siku ya pili tangu kuanza kwa semina hiyo wamefundishwa namna bora ya kuandika habari zinazoweza kuwekwa katika mtandao wa portal ili kuwawezesha kuwa na uelewa juu ya umuhimu wa kuandika habari…
October 6, 2025, 6:43 pm
Waandishi wa habari Butiama wasisitizwa kuandika habari za jamii.
Uongozi wa Butiama fm umewasisitiza waandishi wa habari kutoa habari zinazo zunguka jamii husika Na Oscar Mwakipesile Katika semina ya siku nne iliyoandaliwa na uongozi wa Butiama fm umewaasa waandishi wa habari kutoa taarifa za jamii husika ili kuwezesha wananchi…
October 3, 2025, 9:56 pm
RC Mara aongoza kusanyiko la ushirikishwaji wa jamii
Kusanyiko la ushirikishwaji wa jamii na uhamasishaji wa haki ya juu, kuweka mkakati wa mawasiliano mazuri kuitangaza Butiama FM Radio 93.1. Na Swaiba Oscar Mkuu wa mkoa ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye kusanyiko hilo aliongoza na kuwasihi wananchi wa…
October 3, 2025, 6:39 pm
Viongozi wa CDEA walifika Butiama
Uongozi wa CDEA kutoka Dar es salaam umetua Butiama ukiongozwa na Mkurugenzi wa Culture Development East Africa CDEA Ayeta Ane Wangusa kwa ajili ya kukutana na kufanya mkutano na wadau wa butiama juu ya maendeleo ya radio butiama uliofanyika leo…
October 1, 2025, 2:13 pm
Kusanyiko la ushirikishwaji wa jamii kuitangaza Butiama FM Radio 93.1.
Tunatarajia kufungua Butiama FM katika ofisi zetu za Butiama zilizopo pale kwa Chifu Wanzagi kuanzia majira ya saa tatu asubuhi. Na Osiana Osca Baada ya kusubiri kwa muda mrefu uongozi wa Butiama FM unatangaza kuanza kurusha matangazo ya moja kwa…
April 29, 2025, 1:54 pm
Wananchi Butiama watakiwa kujikita kwenye kilimo cha viazi, mahindi na ulezi
Wakulima mbali mbali kutoka wilaya ya butiama mkoani mara wametoa maoni yao juu ya namna wanaweza kupata mavuno mengi kupitia mazao ya viazi mahindi na ulezi kulingana na ardhi ya butiama ilivyo. Na swaiba Oscar, Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti…
April 24, 2025, 10:10 am
Mwampembwa: Wasanii Butiama shiriki bajeti ya Wizara yenu
Wasanii na wadau wa sanaa wilaya ya Butiama mkoani Mara wametakiwa kuwa na jukumu la kutoa maoni juu ya bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia vyombo washirika. Na Swaiba Oscar na Robert Mwampembwa
April 23, 2025, 2:58 pm
Utafiti juu ya kuzipa heshima kazi za wabunifu
Shirika la Kazi Duniani ILO kwa kushikiana na UNESCO wamefanya utafti ni kwa namna gani wanaweza kuzipa heshima kazi za wabunifu kulingana na hadhi ya kazi hiyo. na Swaiba Oscar Akizungumza alipokuwa akifanyiwa mahojiano mkurugenzi wa culture development east Africa…
April 23, 2025, 10:27 am
Kijana wa Butiama ang’ara AFCON 2025
Kijana Juma Mwita Sagwe afunga goli pekee dhidi ya Zambia kwenye mchezo wa AFCON 2025 Morocco. Na Kelvin Ayoub Juma Mwita Sagwe ambaye ni zao la Brazuka Sports Promotion Ltd ambao walifanya mashindano ya kuibua vipaji vya vijana mwaka 2023…