Butiama FM Radio
Butiama FM Radio
October 3, 2025, 6:39 pm

Uongozi wa CDEA kutoka Dar es salaam umetua Butiama ukiongozwa na Mkurugenzi wa Culture Development East Africa CDEA Ayeta Ane Wangusa kwa ajili ya kukutana na kufanya mkutano na wadau wa butiama juu ya maendeleo ya radio butiama uliofanyika leo ijumaa katika viwanja vya chifu wanzagi.
Story na Swaiba oscar

Kikao hicho kinalenga kuinua maendeleo ya butiama na kupinga unyanyasaji na kuleta usawa katika jamii ya butiama kupitia radio ya butiama fm 91.3 itakayofunguliwa wilayani butiama mkoani Mara .
