Buha FM Radio
Buha FM Radio
May 9, 2025, 1:26 am
“Vitabu vya ziada na kiada vitawasaidia wanfunzi kuongeza maalifa na weledi na vitawasaidia kuelewa na kujifunza mambo mengi kuliko kusubili mwalimu aje akufundishe darasani hivyo wakisoma vitabu ya kiada vitaongeza ufaulu katika masomo yao”Amesema Mwl.Edward Kasabuku. Na: Emily Adam Wanafunzi…
May 8, 2025, 3:31 pm
Mamlaka ya maji safi na salama katika Halmashauri ya Mji Kasulu yaombwa kuboresha huduma ya maji katika baadhi ya maeneo yanayotoa maji machafu ili kuwa na mwendelezo wa utoaji maji safi kwa jamii. Na: Emily Adam Watumiaji wa maji katika…
May 2, 2025, 2:22 pm
“Jumla ya madereva 20 ndio waliohitajika, 9 wamesajiliwa na hulipwa Tshs 1,500/= kwa kilomita 1 na hulipwa kwenda na kurudi” Amesema Dkt. Agustine Mjuni Kaloli. Na Sharifat Shinji Muuguzi Mkuu katika Halmashauri ya Mji Kasulu ameeleza jinsi mpango wa m…
May 1, 2025, 6:18 pm
Mawakala wa vyama vya siasa wameruhusiwa kuwepo katika vituo vya uandikishaji wakati wote wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya pili katika wilaya ya Kasulu. Na; Sharifat Shinji Mawakala wa vyama vya siasa wameruhusiwa…
April 30, 2025, 12:22 pm
Shirika linalojihusisha na utunzaji wa Mazingira katika Halmashauri ya Mji Kasulu (Earth Care Foundation) laeleza namna mabadiliko ya tabianchi yanavyoleta athari katika maeneo ya kazi. Na; Sharifat Shinji Wananchi katika Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameombwa kutunza Mazingira ili…
April 27, 2025, 1:34 pm
“Niwasihi mnavyofurahi kukopa fedha hizi na kurejesha iwe hivyo ili kupata nafasi ya kukopa zaidi kwa sababu kunabaadhi ya vikundi vilikopa awamu iliyopita ilishindwa kurejesha kutokana na kutokuwa na matumizi sahihi ya fedha hizo” Na Paulina Majaliwa Mbunge wa jimbo…
April 24, 2025, 11:40 pm
Baptist ameeleza faida za mtandao wa redio za kijamii zinavyonufaisha vituo vya redio na wafanyakazi wake. Na Sharifat Shinji Mwenyekiti wa Mtandao wa Redio za Kijamii Tanzania (TADIO) Ndg. Baptist John amewataka wanachama wa redio za kijamii nchini kuendelea kufanya…
April 24, 2025, 10:08 am
“Msongo wa Mawazo Humfanya Mama Mjamzito kushindwa kula Chakula Vizuri, Chakula ambacho ni Mhimu kwa matoto na inaweza sababisha mtoto kuzaliwa akiwa malemavu” Habibu Sasagale Na Sharifat Shinji Ripoti ya mwaka 2021 kupitia taasisi ya Centers for Disease Control and…
April 24, 2025, 2:51 am
Katibu tawala Bi, Theresia Mtewele awapongeza waote walioshiriki zoezi la usafi katika maeneo yote wilayani Kasulu. Katika kuadhimisha miaka 63 za Uhuru wa Tanganyika Leo Decemba 9 Buha fm radio ilifika katika Hospital ya Halmashauri ya Mji Kasulu ambako kulikuwa…
April 23, 2025, 4:03 pm
Wanafunzi wenye changamoto ya ulemavu wamesimulia wanavyopitia changamoto mbalimbali wanapokuwa shuleni. Na Sharifat Shinji Wananchi katika Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameombwa kutojihusisha na vitendo vya Unyanyapaa kwa Watu wenye Ulemavu pamoja na kutojihusisha katika vitendo vya ukatili kwa…
The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.
Vision
The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.
Objectives of the Buha news and Buha Radio
The following are our objectives; –
· Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station
· Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals
· Reduced tension among refugees and host communities
· Reduced poverty among women and youth
· Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries
· Promoted protection to girls, children, and elders
Our Activities
To engage communities in content production
· To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news
· Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities
· Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.
· Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)
· Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication
· Promote wildlife conservation
· Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites