Baraka FM

Ibada ya Pasaka

1 April 2024, 19:25

Wakristo onesheni upendo kwa watu wote

Upendo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu kila mtu anapaswa kuonesha upendo pasipo kujali rika rangi wala kabila. Na Deus Mellah Wakristo wa madhehebu mbalimbali mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuonesha upendo kwa watu wa makundi mbalimbali…