Baraka FM

Ajali

6 June 2024, 17:11

Ajali Mbeya, vifo vyaongezeka

Jiji la Mbeya likiwa bado kwenye majonzi makubwa ya kutokea ajali eneo la Mbembela huku wananchi na ndugu marehemu wakiendelea kuitambua miili ya wapendwa wao,taarifa inadai kuwa idadi ya vifo imeongezeka. Na Hobokela Lwinga Idadi ya vifo katika ajali iliyotokea…

5 June 2024, 19:07

13 wafariki, 18 wajeruhiwa ajalini Mbeya

Huzuni imetanda jiji la Mbeya baada ya kutokea ajali ambayo imeondoa uhai wa watu. Na Hobokela Lwinga Watu 13 wamepoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu likiwamo lori, gari dogo na Coaster. Ajali hiyo imetokea leo…