Adhana FM

JAMII

28 September 2021, 10:35 am

SMZ imeombwa kutenga eneo maalum kwa wajasiriamali kuekeza

Na Ali Khamis, Wilaya ya Magharib B Shirika la Centre for Community Initiaties (CCI) Tanzania  limetoa pendekezo kwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kutoa eneo  maalumu la kiuchumi litalotumika kuwekeza viwanda vidogo kwa vikundi vya wajasiriamali wa hali ya chini.…