Zenj FM

siasa

4 July 2024, 5:22 pm

Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa za mikopo nafuu

Na Ahmed Abdulla Wajumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT mkoa wa Kusini Unguja wamehimizwa kuwashajihisha wanawake na vijana kujiunga katika vikundi vya ushirika na kuchukua mikopo nafuu inayotolewa na serekali ili waweze kujiwezesha kiuchumi Akizungumza wakati…

2 June 2024, 4:09 pm

CCM Pemba yajipanga kushinda uchaguzi mkuu 2025

Na Is-haka Mohammed. Pemba Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ali Issa Ali amewataka wazazi na walezi kuwalea vijana katika malezi bora ili kuwa na kizazi chenye maadili. Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ali Issa Ali ametoa…

27 May 2024, 4:52 pm

Mbeto amjibu Jussa kuhusu uingizaji wa mafuta Zanzibar

Na Mary Julius Makampuni ya ndani uwezo wao wa mitaji umeyumba kutokana na bei ya mafuta kupanda duniani inayosababishwa na uwepo wa vita vya Urusi na Ukraine. Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo Khamis…