Uyui FM Radio
mazingira
12 December 2021, 7:34 pm
Waandishi wahimizwa kusaidia jamii kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi
Waandishi wa habari wamehimizwa kuandika na kutangaza habari kuhusu utunzaji mazingira ili kusaidia jamii na dunia kwa ujumla kuepukana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yameelezwa katika mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo waandishi wa habari katika kuandika habari za mazingira nchini…