Uyui FM Radio
mawasiliano
19 May 2021, 7:21 pm
Watoa huduma za mawasiliano Kanda ya kati wanolewa juu ya UCSAF
Watoa huduma za mawasiliano katika mkoa wa Tabora, singida na Kigoma wametakiwa kuwa na ushirikiano kwa wananchi ili kutumia mfuko wa mawasiliano kwa wote UCSAF kwa lengo la kuhakikisha huduma inayotolewa inakuwa bora hususani katika maeneo ya vijijini. RICHARD SOTERY…