Uyui FM Radio
Afya
26 April 2021, 5:45 pm
Rc Tabora awa mbogo kusuasua ujenzi wa hospital ya Wilaya
Mkuu wa mkoa wa Tabora Dkt Philemon Sengati ameiagiza Wilaya ya Kaliua kukamilisha haraka mradi wa hospitali ya wilaya hiyo pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Usinge ili wananchi waanze kupata huduma za afya maeneo hayo. Ametoa agizo hilo…