Uvinza Fm
wanawake
24/02/2022, 4:36 pm
Siku ya wanawake duniani jamii yaaswa kujitokeza kuiadhimisha
Na,Rosemary Bundala Kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika tarehe nane mwezi wa tatu kila mwaka jamii imeaswa kujitokeza katika kuadhimisha maadhimisho hayo Hayo yamezungumzwa na afisa maendeleo ya jamii kutoka wilaya ya uvinza Mkoani Kigoma bi MASTIDIYA NDYETABULA wakati…