Uvinza Fm
uviko19
29/09/2021, 6:40 pm
Imani potofu na uchache wa vituo kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo
Na,Glory Paschal KIGOMA Imeelezwa kuwa ImaniĀ Potofu na uchache wa vituo vya kutolea chanjo katika maeneo ya jamii imeelezwa kuwa chanzo cha kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo ya UVIKO 19 kutofanikiwa mkoani Kigoma Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa…