Uvinza Fm

Maji

07/09/2021, 8:17 pm

Uharibifu wa miundombinu ya maji mkongoro bado unaendelea

Na,Glory Paschal Licha ya Kuundwa Jumuiya za watumia maji katika baadhi ya kata Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma  kwa lengo la kutoa taarifa ya uharibifu wa miundombinu ya maji katika mradi wa Maji wa Mkongoro Namba mbili bado uharibifu unaendelea. Hayo…

12/08/2021, 4:31 pm

Wananchi walia na ukosefu wa maji

Na,Mwanaid Suleiman Wakazi wa kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kutataua changamoto ya maji inayowakumba katika kijiji hicho  hasa katika kipindi cha kiangazi Hayo yamesemwa na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruchugi kuwa changamoto hiyo imekua…

04/06/2021, 7:51 pm

Wakazi wa Matendo watembea umbali mrefu kufuata maji

Na,Glory Paschal Wananchi wa Kijiji cha Pamila Kata ya Matendo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Wameiomba  Serikali  kuwasaidia kupeleka huduma ya maji kwani wanalazimika kutembea umbali mrefu kutafuta maji na kushindwa kufanya shughuli za maendeleo Wakizungumza  na  Radio  Uvinza Fm, Wananchi…

01/06/2021, 4:26 pm

Mradi wa maji kakonko wafikia asilimia 65

Na,Rosemary Bundala Serikali imesema hadi kufikia disemba 2020 tayari miradi kumi na tano ilikuwa inatekelezwa katika wilaya ya kakonko ambapo miradi kumi na nne imekamilika na inatoa huduma ya maji kwa wananchi na mradi mmoja uliobaki ni mradi wa kakonko…