Tumbatu FM
MAENDELEO
28 September 2021, 2:11 pm
Kaskazini Unguja yashauriwa kupinga vitendo vya udhalilishaji
Uingijaji wa wageni kiholela ndani ya mkoa wa kaskazini Unguja ndio chanzo cha kuwepo Utelekezaji wa familia. Na Vuai Juma. Serekali ya mkoa wa kaskazini unguja imeshauriwa kuweka mikakati Madhubuti kwa wageni wanaoingia katika maeneo ya mkoa huo ili kuondoa…