Triple A FM

HABARI ZA NYUMBANI

11 November 2021, 3:47 pm

Agenda ya usafi ni ya kudumu jijini Arusha-Meya

Na.Anthony Masai,Arusha. Baada ya kunyooshewa kidole cha malalamiko ya muda mrefu ya wananchi kuhusu huduma duni za ukusanyaji na uzoaji taka jijini Arusha,Meya wa jiji Maxmillian Iranqhe amefanya kikao kazi na mawakala wa usafi ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto hizo.…

8 November 2021, 2:02 pm

WAMACHINGA WATII SHERIA BILA SHURUTI ARUSHA.

Na.Sunday Douglas,Arusha. Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga ambao walikuwa wamejenga vibanda juu ya madaraja, kandokando mwa barabara na maeneo mengine ambayo sio rasmi jijini Arusha,leo wameanza kuhama. Wamachinga hao wanahama kutokana na tangazo la Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongela…

8 November 2021, 12:50 pm

MAWAZIRI WATATU KUSHIRIKI MAADHIMISHO ARUSHA.

Na.Anthony Masai,Arusha Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongella amewataka wananchi wa Jiji hilo kutumia wiki ya kupambana na magonjwa yasioambukiza kwa kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya upimaji afya pamoja na kupata ushauri wa kitaalamu. Bwana Mongella amesema, maadhimisho hayo…